Tuesday, 21 July 2020

MAARIFA YENYE TIJA MTANDAONI [HIVI SASA]



PROGRAMU ZETU MBILI; ZENYE MAARIFA RAHISI SANA KUJIFUNZA—WAKATI YANA TIJA SANA KWA NYAKATI HIZI TULIZONAZO.

—•••—$ijawa mchoyo, nimetamani wewe unayejali mambo haya uingie kwenye ulimwengu huu tena. Nimeweka bei ndogo sana, ukilinganisha na kile utakachokipata—hautajutia. Ni wewe tu kuamua kujifunza. Kwa programu ya kwanza ni ndani ya siku chache tu (5 hadi 7), utaanza kutengeneza picha nzuri sana za graphics.


Kati ya programu zetu kumi (10) za maarifa yenye thamani na tija sana kwa nyakati hizi, tumeona watu wengi wanachagua hizi mbili; ambazo ndiyo fokasi yetu hapa kwa sasa.

Zinatolewa kwa namna nzuri na rahisi  za kukusaidia kuelewa kwa wepesi sana; tunatumia:
• Audio za kila kipengele [ambazo tayari zimerekodiwa vizuri [mp3].
• Vitabu vidogo vidogo vya PDF (softcopy)—unavipokea kwa WhatsApp.
• Maelekezo ya moja kwa moja kwenye kundi letu la Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04]

PROGRAM HIZI MBILI NI:
  1.  PROGRAMU YA MAARIFA YA GRAPHICS [Kwa smartphone yako].
  2. PROGRAMU YA MAARIFA YA KUONGEZA UFANISI WA UPATIKANAJI WA WATEJA WA UHAKIKA—KUPITIA WHATSAPP.



PROGRAMU YA GRAPHICS.       
2. PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.


UTANGULIZI KWA UFUPI:
Katika maelekezo haya hauhitaji kuwa na maarifa tata ya programu zilizozoeleka kama vile Adobe Photoshop n.k, badala yake ni maelekezo ya kuitumia App nzuri na rahisi—inayofanya kazi vizuri hata kwenye smartphone. 
Baadhi ya Graphics ambazo utaanza kuzidizaini mapema kwa kadiri unavyopokea maelekezo ya programu hii ni: Flyers, Web banners, Business cards, Book covers, Social media profiles, Logo, Greeting cards, Posters, Invitation, Price Lists & menus n.k.



YALIYOMO:
  1. Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
  2. Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
  3.  Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
  4. Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Bei: Tsh 2,000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 31.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
Baadhi ya mifano ya graphics hizo iko [HAPA]}}Click to see!



PROGRAMU YA WATEJA WALIOPO WHATSAPP.          
3. WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP.



—★ JINSI NILIVYOANZA NA NINAVYOHIFADHI NAMBA ZA WHATSAPP KWA AJILI YANGU NA WATEJA WANGU (T77-03).
—$—Ili kupata wateja wetu waliopo mtandaoni, kwa urahisi kupitia Whatsapp.

UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
—$—››››› Ili usitegemee status na utumaji tu wa matangazo ndani ya makundi ya WhatsApp [Wateja wako ni wengi, kuliko wale unawapata kwa wakati huu].

YALIYOMO:
  1. Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.
  2. Namna nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa makundi ya wasapu— uliyomo na yale usiyokuwemo ndani yake.
  3. Utumiaji wa P2P kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.
Bei: Tsh 3,000
Fomati:PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 58.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.


No comments:

Post a Comment