Thursday, 6 August 2020

SABABU YA KUKUFUATA WEWE—INBOX.

Rafiki yangu, naamini kabisa kuwa; wewe ni mtu muhimu sana, ikiwa tutakuwa na mitazamo chanya.

Mimi najua na kuamini kuwa katika biashara yangu yoyote nahitaji watu, tena watu ambao watafahamu vizuri uhalisia  wa namna nzuri na ya uhakika, vile wanavyoweza kufurahia huduma na bidhaa zangu; kwa furaha na amani.

Katika biashara na huduma zako; naamini mimi ni mtu muhimu pia, ni miongoni mwa watu ambao wakifahamiana na wewe ni rahisi kununua kwako au kuhudumiwa na wewe—kuliko mtu mwingine yeyote ambaye sina mahusiano mazuri naye.

Naitwa EMMANUEL Kimanisha. Napatikana Dodoma, mara nyingine [kwa nyakati tofauti tofauti] ninapatikana pia Mbeya na Rukwa. Nimejisikia furaha na amani sana kukutana na wewe kwenye mawasiliano haya.

Sababu hasa ya mimi kukufuata ni kwamba;
—Mimi napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu]. 

—Na mara nyingine hata kuweza kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi. 

Napenda kutanguliza mazingira mazuri ya kufahamiana na kufahamishana.

Nitafurahi sana ikiwa utajitambulisha kwangu pia; kwa kueleza, unajihusisha na biashara au huduma gani. Vilevile hata kuhusu upatikanaji wako. 

Naomba nijitambulishe kwa ufupi sana, mengine tutaendelea kujuzana na utanijuza yale unayoona ni vyema kutambulisha kwangu; mimi ninajihusisha na biashara na utoaji wa huduma zifuatazo, kwa kupitia intaneti—popote ulipo:

1. Nina-dizaini [GRAPHICS] picha za matangazo, mabango ya nukuu, makava ya vitabu, business card, picha za utambulisho Whatsapp, logo za aina tofauti tofauti na nyingine nyingi 
[TSH 3500 hadi 15,000]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

2. Nakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (documents) kwa haraka, kwa Transcriptional Typing 
[Tsh 350/p] [ ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

3. Ninakusaidia kusevu namba nyingi sana za watumiaji wa Whatsapp—kwa haraka 
[Tsh 30/c]; kwa kupitia EO Gadgets 77. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

4. Ninatoa [Programu ya maarifa] maelekezo ya namna kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja wako wa uhakika—miongoni mwa watu wengi waliopo Whatsapp. [ndani ya siku chache mno (5 hadi 7).
[Tsh 5,500/mafunzo]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

5. Ninatoa [Programu ya maarifa] maelekezo ya namna ya kutengeneza (ku-dizaini) picha za graphics—kwa kutumia App nzuri sana inayofanya kazi vizuri hata kwenye Smartphone [ndani ya siku chache mno (5 hadi 7).
[Tsh 4500]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

6. Pia kuna maarifa mengine niliyoyaweka kwenye programu fupi fupi ili zipatikane kwa bei ndogo sana 
(Tsh 3500 hadi 7,000).  [ANGALIA hapa—mtandaoni]

—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••
Unaweza pia kutembelea blogu zangu hizi hapa:.
https://zsm77.blogspot.com 
[Royal Business Mind]→HAPA

https://eol777.blogspot.com 
[Emmanuel Online Library]→HAPA

https://orm-88.blogspot.com 
[Ofisi Rahisi ya Mtandaoni].→HAPA

Kazi zangu huwafikia watu kwa e-mail au Whatsapp—katika fomati za kielektroniki (softcopy). Bei zangu ni ndogo sana; kuliko ulivyodhani.

MAKTABA YETU YENYE MAARIFA MAZURI.

Wednesday, 22 July 2020

OFISI YAKO YA MTANDAONI—IPO TAYARI.

ONGEZA UFANISI WA MATUMIZI MAZURI YA SIMUJANJA (SMARTPHONE)—IKUNUFAISHE KIUCHUMI—POPOTE ULIPO.

Programu zetu saba (07) za maarifa yenye tija sana kwa nyakati hizi na zinazopatikana kwa bei ndogo sana; zinatolewa kwa audio zilizorekodiwa tayari [mp3], vitabu vifupi vifupi vya PDF na maelekezo ya moja kwa moja—kwenye vikundi vyetu vya WhatsApp.

Bei zetu kwa sasa ni shilingi mia saba (Tsh 3500/-) hadi shilingi elfu moja mia nne (Tsh 7,000/-).

MAARIFA HAYO NI: 

1. Duka Lako Rahisi la Mtandaoni
→Tsh 6,000/-.
2. Miliki Shule Yako Ndogo na Rahisi Mtandaoni
→Tsh 4,000/-
3. Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni 
Tsh 5,500/-.
4. Andika Kwa Mkono na Uuzie Mtandaoni
→Tsh 7,000/-.
5. Andika Kwa Ajili ya Wengine—Mtandaoni (Online Typing)
→Tsh 3500/-.
6. Wateja Wako Siyo Hao Tu
→Tsh 6,000/-.
7. Namna ya Kufungua Blogu Yako Rahisi—Mwenyewe; Kwa Simujanja (Smartphone) Yako 
→Tsh 3,500/-.

Hakuna jambo lisilowezekana chini ya jua. Unaweza kuwa na ofisi yako rahisi mtandaoni; na ukatengeneza sehemu nzuri kabisa ya kipato chako—popote ulipo. Ongeza ufanisi wa vile unavyoweza kuitumia Simujanja (Smartphone) yako kunufaika zaidi kiuchumi—kwenye zama hizi za teknolojia ya habari na mawasiliano.

Ukihitaji kuona orodha ya yale yaliyomo ndani ya kila programu, gusa maandishi ya rangi ya kijani yaliyoandikwa neno 'HAPA', mbele ya kichwa cha habari cha programu husika. Karibu sana.

1. Duka Lako Rahisi la Mtandaoni 
→Tsh 6,000/-. [HAPA]
[JIUNGE HAPA] kwa WhatsApp.

2. Miliki Shule Yako Ndogo na Rahisi Mtandaoni 
→Tsh 4,000/- [HAPA]
[JIUNGE HAPA] kwa WhatsApp.

3. Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni 
Tsh 5,000/-. [HAPA]
[JIUNGE HAPA] kwa WhatsApp.

4. Andika Kwa Mkono na Uuzie Mtandaoni
→Tsh 7,000/-. [HAPA]
[JIUNGE HAPA] kwa WhatsApp.

5. Andika Kwa Ajili ya Wengine—Mtandaoni (Online Typing) 
→Tsh 3500/-. [HAPA]
[JIUNGE HAPA] kwa WhatsApp.

6. Wateja Wako Siyo Hao Tu
→Tsh 6,000/-. [HAPA]
[JIUNGE HAPA] kwa WhatsApp.

7. Namna ya Kufungua Blogu Yako Rahisi—Mwenyewe; Kwa Simujanja (Smartphone) Yako
→Tsh 3,500/-. [HAPA]
[JIUNGE HAPA] kwa WhatsApp.

Ikiwa wewe ni mtumiaji wa wasapu, na unahitaji kuanza programu yoyote kati ya hizo sasa hivi; nitaarifu kwa namba 
0743 517 138 [ipo WHATSAPP pia].

Programu nyingine mbili za bei ya Tsh 4500/-  na Tsh 5,500/-, zipo HAPA >>CLICK.

KARIBU SANÀ.
Namba ya kulipia ni 0657178911.

Tuesday, 21 July 2020

MAARIFA YENYE TIJA MTANDAONI [HIVI SASA]

PROGRAMU ZETU MBILI; ZENYE MAARIFA RAHISI SANA KUJIFUNZA—WAKATI YANA TIJA SANA KWA NYAKATI HIZI TULIZONAZO.

—•••—$ijawa mchoyo, nimetamani wewe unayejali mambo haya uingie kwenye ulimwengu huu tena. Nimeweka bei ndogo sana, ukilinganisha na kile utakachokipata—hautajutia. Ni wewe tu kuamua kujifunza. Kwa programu ya kwanza ni ndani ya siku chache tu (5 hadi 7), utaanza kutengeneza picha nzuri sana za graphics.

Kati ya programu zetu kumi (10) za maarifa yenye thamani na tija sana kwa nyakati hizi, tumeona watu wengi wanachagua hizi mbili; ambazo ndiyo fokasi yetu hapa kwa sasa.

Zinatolewa kwa namna nzuri na rahisi  za kukusaidia kuelewa kwa wepesi sana; tunatumia:
• Audio za kila kipengele [ambazo tayari zimerekodiwa vizuri [mp3].
• Vitabu vidogo vidogo vya PDF (softcopy)—unavipokea kwa WhatsApp.
• Maelekezo ya moja kwa moja kwenye kundi letu la Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04]

PROGRAM HIZI MBILI NI:
  1.  PROGRAMU YA MAARIFA YA GRAPHICS [Kwa smartphone yako].
  2. PROGRAMU YA MAARIFA YA KUONGEZA UFANISI WA UPATIKANAJI WA WATEJA WA UHAKIKA—KUPITIA WHATSAPP.

PROGRAMU YA GRAPHICS.       
2. PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.

UTANGULIZI KWA UFUPI:
Katika maelekezo haya hauhitaji kuwa na maarifa tata ya programu zilizozoeleka kama vile Adobe Photoshop n.k, badala yake ni maelekezo ya kuitumia App nzuri na rahisi—inayofanya kazi vizuri hata kwenye smartphone. 
Baadhi ya Graphics ambazo utaanza kuzidizaini mapema kwa kadiri unavyopokea maelekezo ya programu hii ni: Flyers, Web banners, Business cards, Book covers, Social media profiles, Logo, Greeting cards, Posters, Invitation, Price Lists & menus n.k.

YALIYOMO:
  1. Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
  2. Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
  3.  Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
  4. Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Bei: Tsh 2,000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 31.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
Baadhi ya mifano ya graphics hizo iko [HAPA]}}Click to see!

PROGRAMU YA WATEJA WALIOPO WHATSAPP.          
3. WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP.

—★ JINSI NILIVYOANZA NA NINAVYOHIFADHI NAMBA ZA WHATSAPP KWA AJILI YANGU NA WATEJA WANGU (T77-03).
—$—Ili kupata wateja wetu waliopo mtandaoni, kwa urahisi kupitia Whatsapp.

UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
—$—››››› Ili usitegemee status na utumaji tu wa matangazo ndani ya makundi ya WhatsApp [Wateja wako ni wengi, kuliko wale unawapata kwa wakati huu].

YALIYOMO:
  1. Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.
  2. Namna nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa makundi ya wasapu— uliyomo na yale usiyokuwemo ndani yake.
  3. Utumiaji wa P2P kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.
Bei: Tsh 3,000
Fomati:PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 58.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

SABABU YA KUKUFUATA WEWE—INBOX.

Rafiki yangu, naamini kabisa kuwa; wewe ni mtu muhimu sana, ikiwa tutakuwa na mitazamo chanya. Mimi najua na kuamini kuwa katika biashara...